HILI NI SHIRIKA MAARUFU LA "DINI" LILILOKUBALI USHOGA


   WORLD Vision, ambalo ni shirika la kikristo  kimataifa la kutoa  misaada limetoa tangazo ambalo limeshangaza wengi baada ya kusema litaajiri wapenzi wa jinsia moja waliooana, tangazo hilo linajiri huku dunia ikiwa katika mkanganyiko mkubwa juu ya suala la mashoga.
WWW.PALLANGYO.BLOGSPOT.COM

WORLD Vision, wamesisitiza kuwa wanafanya hivyo ili kulinda WORLD Vision isigawanyike na pia kutimiza malengo yao wa upendo na kusaidi masikini kwa jina la bwana yesu, hii ni kwa mujibu wa Rais wa shirika hilo bwana Richard Stearns.

SWALI NI JE MASHIRIKA YA DINI KAMA HAYA KWANINI WANARUHUSU USHOGA???

Popular Posts