TAUSI+PAKA=ASKARI KUFUKUZWA KAZI,..soma kupitia www.pallangyo.blogspot.com

Polisi watatu wanaolinda makazi ya waziri mkuu wa
Pakistan wamesimamishwa kazi kwa muda baada ya Paka kumuua Tausi wa
waziri mkuu.
Mtunza bustani alipata Tausi mmoja amekufa
katika moja ya bustani za makazi ambapo ndege hao huvinjari ,lilieleza gazeti la Express Tribune. www.pallangyo.blogspot.com
Maafisa 18 hawakubainika kuwa na hatia, gazeti lilieleza.
Lakini watatu waliosalia wote walipewa onyo na kuadhibiwa kwa uzembe
Makazi ya waziri mkuu wa Pakistani Nawaz Sharif yako Raiwind, viungani mwa mji wa Lahore.