HII NDIO KAZI YA IPAD ZA BUREE

WWW.PALLANGYO.BLOGSPOT.COMHivi karibuni nchini
Uganda wabunge wote walipewa ipad iliziweze kuwarahisishia kazi zao wakati wa vikao bungeni, ikaitishwa semina ili wafunzwe kuzitumia ila hawakuzidi 10 waliohudhuria....ila hivi karibuni wakat wakikao mbunge aitwae Hatwib Katoto alionekana kuwa bize kucheza game la karata badala yakuwa makini na kikao.IPAD HIZO WALIPEWA BURE NA RAIS WAO BW. MUSEVEN
CHEK PICHA YA MH AKICHEZA KARATA

http://nairobiwire.com/wp-content/uploads/2014/04/uganda-ipad1.jpg

Popular Posts