GANGNAM STYLE VIDEO ILIYOWEKA HISTORIA MPYA DUNIANI
psy ambae ni raia wa korea ya kusini aliachia kibao hicho july 2012 huku style yake ya kucheza ikiwa ndio kivutio kikubwa ikavutia kuanzia wafungwa mpaka mh Ban KI MOON.
Justin Beiber na wimbo wake wa baby ndio anafuatia akiwa na views bilion 1.
tuombe labda siku moja mtanzania atakuwa na mafanikio kama haya.
SOURCE BBCNEWSBEAT
CHECK VIDEO YENYEWE HAPA