KAMA NA HIKI NI KIPAJI MIMI SIKITAKI
Mtoto wa miaka minne ameamua kuonesha kipaji chake
chakuchora kwa kuamua kuchora passport yote ya baba yake.
dogo huyo alikuwa bize kuchora pass hiyo ya baba yake wakati wakiwa katika safari ya kifamilia huko korea kusini ambapo alichukua kalamu na kuanza kuweka michoro ya watu,wanyama pia kumwongezea baba yake nywele katika picha yake.
kwasasa baba huyo amezuiliwa huko korea kwavile pass yake hiyo maafisa wamesema haitambuliki.