MAMA WA ZITTO KABWE, NA MTOTO ALIWEKWA KWENYE BOX AFARIKI
BONYEZA HAPA KUSOMA
MTOTO Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi miaka minne amefariki dunia. Nasrah alifichwa kwenye boksi na mama yake mkubwa aitwaye Mariamu Said mkazi wa Kiwanja cha Ndege, Morogoro tangu akiwa na miezi tisa baada ya mama yake mzazi kufariki. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
PIA MAMA WA MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI MH ZITTO KABWE AMEFARIKI DUNIA ....MH ZITTO AMETWEET ASUBUHI HII" Zitto Ruyagwa Kabwe
My mother has just passed away. Inna lillah wainna illaih raajiun"
www.pallangyo.blogspot.com