NANI KASEMA NG'OMBE ANAZEEKA MAINI???
Licha ya kuwa ni miaka mara tatu
zaidi yake kijana huyu haoni hatari yoyote kutoka na kikongwe hiki chenye miaka
91 alihali yeye ana miaka 31 tu.
MKE,MUME NA MAMA MZAZI WA KIJANA WETU |
Kyle Jones, 31amesema anavutiwa na
makunyanzi ya kikongwe hicho na haswaa ma***ti ya kizee bibi huyo yanayoning’inia.
Jamaa huyo ambae anafanya kazi kituo
cha huduma za simu kutoka Pittsburgh, Pennsylvania, pia anamahusiano na
wafanyakazi wenzie wakati huohuo na hufikia hata wakati anawapeleka nyumbani
kwao wakakutane na mama yake ambae ana miaka 50.
Kwa miaka mitano sas amekuwana
uhusiano pia na Marjorie McCool, licha ya tofauti ya miaka 60 wapenzi hawa
wanapendana sana na kamwe hawaachiani mikono yao wakiwa matembezini.
MAMBO YA MAPENZI HAYO…JE WEWE
UNAWEZA KUWA NA MPENZI ALIEKUZIDI MIAKA 60???/www.pallangyo.blogspot.com