ALI KIBA AMGUSA HUDDAH MONROE



Mrembo wa Kenya aliyewahi kuwa mshiriki wa Big Brother Africa, Huddah Monroe aka The BossChick alikuwa mmoja kati ya mashabiki wa dhati walioimiss sauti ya Ali Kiba na hivi sasa wamenaswa na ujio wake mpya.
Kupitia Instagram, Huddah amepost snippet ya ujio wa Ali Kiba na kuandika ujumbe unaoonesha hisia zake kwa sauti ya mwimbaji huyo.
“Whaaaatttttt!!!!!!!!! I was wondering where @officialalikiba had gone to! Sauti ya kumtoa nyoka pangoni! Still my favourite Tanzanian Artist, the real definition of Bongo Flava! Duh!!”
Huddah Monroe anaswa na ujio mpya wa  Ali Kiba

Popular Posts