BEEF LA KIKUBWA

Nyota Wawili wanaofanya vizuri toka nigeria, wiz kid na davido wanaonekana kuwa kwenye beef la chini chini na hii ilianza baada ya wizkid kutoka kwenye show huko marekani na kutweet then  na davido akatweet maneno yanayoonyesha yanahusiana na alicho tweet wizkid.

Wizkid aliandika: "Thank you so much New York!!! Amazing show last night. Big up @wale and @akon for showing me love. Proper show. Proper venue. Boys talk. Men walk!”  akimaanisha 'ASANTE SANA NEW YORK!!!, SHOW ILIKUWA NZURI JANA USIKU BIGUP KWA AKON NA  WALE (AMBAE NI RAPPER ALIEWAHI KUFANYA VIZURI NA NYIMBO KAMA PRETTY BOY NA BAG OF MONEY) KWA KUONESHA UPENDO. SHOW ILIKUWA KALI ,TUMEIFANYIA SEHEMU SAHII PIA.,WAVULANA WANAONGEA, WANAUME WANATEMBEA!!!

Muda mfupi baadae davido aliporomosha tweets za kutosha Davido tweets; . “Pull half my crowd before talking sh*t. Looser!” .Akimaanisha hebu chukua angalau nusu ya mashabiki wangu kabla hujaanza kuongea ujinga, Oh, na  Wizkid hakinyamaza akajibu tweeted: “I already killed NY!! London 26th September!! Manchester 28th September!! Big surprise. Still proper shows! Proper venues!!!” AKIMAANISHA NIMESHAKINUKISHA NEW YORK, LONDON TARH 26, MANCHESTER TRH 28, BONGE LA SUPRISE, BADO TUNAFANYA SHOW NZURI KATIKA MAENEO MAZURI


KWASASA WIZKID YUKO STUDIO AKIFANYA COLLABO 2 ZA MAANA MOJA NA RIHANNA NYINGINE NA CHRIS BROWN WAKATI DAVIDO AMEPATA HESHIMA KUBWA BAADA YA KUPATA TUZO ZA MTV. BET NA AFRIMMA


WEWE UNAJUA NINI KITAFUATIA??? MIMI SIJUI CHAKUFANYA TUKAE CHINI TUANGALIE NINI KITATOKEA KATI YA JAMAA HAWA.

Popular Posts