BLATTER: MIMI MWENYEWE NILISHANGAA KUMONA MESSI
Katika hali ya kushangaza, raisi wa shirikisho la soka
duniani Joseph Sepp Blatter ameungana na wadau wa soka wanaopinga hatua
ya
mshambuliaji na nahodha wa timu ya tauifa ya Argentina Lionel Andres Messi kutunukiwa tuzo ya mchezaji bora wa fainali za kombe la dunia za mwaka
2014.
Blatter ameustaajabisha ulimwengu kwa kuungana na kundi hilo,
alipokuwa akijibu swali la muandishi wa habari kutoka nchini Hispania
ambaye alitaka kufahamu ni vipi raisi huyo wa FIFA alivyoipokea hatua ya
mshambuliaji huyo kutunukiwa tuzo ya uchezaji bora ambayo hutolewa na
kampuni ya vifaa vya michezo ya Adidas.mshambuliaji na nahodha wa timu ya tauifa ya Argentina Lionel Andres Messi kutunukiwa tuzo ya mchezaji bora wa fainali za kombe la dunia za mwaka
2014.
Blatter amesema hata yeye alishangazwa kumuona Luionel Messi akiitwa kwenye jukwaa kuu, kwa kigezo cha kushinda tuzi hiyo hali ambayo amesema haikumshurutisha kuamini kama kweli mshambuliaji huyo wa klabu ya Barcelona alistahili.
Amesema mshambuliaji huyo hakuonyesha kiwango kinachostahili kama ilivyo kwenye klabu yake ya Barcelona ya nchini Hispania, hivyo alikuwa tofauti na wachezaji wengine ambao alikuwa wakiwania tuzo ya mchezaji bora wa fainali za mwaka huu.
"Nilishangazwa kidogo nilipomuona Messi anakuja kupokea tuzo ya mchezaji bora," amesema Blatter, ambaye alikabidhi tuzo hiyo. Blatter: Nilishangazwa nilipomuona Messi anakuja kupokea tuzo ya mchezaji borA
TIZAMA VIDEO AKIONGEA MWENYEWE