HAWA WANANGUVU ZAO BWANA SO WAACHENI TU WAGOMBANE
Floyd Mayweather na kuanza nae mahusiano kabla hajaachana na Floyd.
Kwenye mahojiano na ESPN Rapper Nelly amesema “Hii stori imechukuliwa tofauti sana, Floyd ni mtu asiyependa kuambiwa hapana, Unajua ni ngumu kuongea na mtu ambaye hajamaliza shule ya Secondari” Flody anazidi kukasirishwa na kitendo cha Nelly cha kumchukua mpenzi wake baaday ya 50 Cent kumtania Mayweather kuwa Nelly kamchukua mpenzi wako