Lampard:sijazungumza na Manchester City
Lampard alifunga magoli matatu katika michezo mitatu tangu alipojiunga na man city kwa mkopo akitokea New York City.
Mkataba wa Lampard utamalizika mwezi Januari mwakani ,lakini Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini juma hili alisema kuwa Lampard anaweza kuendelea kubaki.