Uwoya na Rich wakifanya 'kweli' kwenye scene ya mapenzi!
Tasnia ya filamu nchini huenda ikawa na mengi yanayofanyika
nyuma ya pazia wakati wa majaribio ya kutafuta shots nzuri zenye
uhalisia hasa kwenye scene za mapenzi!
Lakini napata kigugumizi kikali kwa kile kilichoonekana kwenye video hii inayoaminika kuwa ni kipande cha filamu mpya inayotarajia kutoka iliyowakutanisha Rich na Irene Uwoya ambao wanaonekana wakibadilishana mate kwa kiss za uweli.
Je, uhalisia huu kwenye filamu za Bongo unakubalika kimaadili? Bila shaka haukubaliki hapa kwetu Tanzania. Bado hatuko huko Hollywood na naamini kipande hicho kitatolewa.