Brazil
imeichapa Japan 4-0 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Singapore.
Mabao yote manne yamefungwa na Neymar ambaye sasa amefikisha mabao 40
kwa timu yake ya taifa. Wafungaji bora wa Brazil ni: Pele - 77 Ronaldo - 62 Romario - 55 Zico - 48 Neymar - 40 Bebeto - 39