Sizitaki Mbichi Hizi, Ndivyo Mourinho Anavyojipendekeza kwa Varane

Meneja wa klabu ya Chelsea, Jose Maourinho amekiri kuendelea kuvutiwa na uchezaji wa Raphael Varane lakini ameonyesha kuwa na matumaini hafifu ya kumsajili na kumpeleka Stamford Bridge.

Varane alianza kuitumikia klabu ya Real Madrid wakati wa utawala Jose Mourinho mwezi Septemba mwaka 2011 na tangu wakati huo amejiimarisha kikosini katika nafasi ya ulinzi.
Mchezaji huyo pia alifanikiwa kuonesha uwezo wake wakati wa fainali za kombe la dunia nchini Brazil akiwa na kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa kilichoishia kwenye hatua ya robo fainali.
Meneja wa klabu ya Chelsea, Jose Maourinho amekiri kuendelea kuvutiwa na uchezaji wa Raphael Varane lakini ameonyesha kuwa na matumaini hafifu ya kumsajili na kumpeleka Stamford Bridge.
Varane alianza kuitumikia klabu ya Real Madrid chini ya Mourinho mwezi Septemba mwaka 2011 na tangu wakati huo amejiimarisha kikosini katika nafasi ya ulinzi.

Popular Posts