Beach ni sehemu ambayo watu wengi huenda kuspend na watu wao, wanaenjoy hewa safi ya ufukwe, wengine wanaogelea basi inakuwa burudani.
Wengi hupendelea kwenda maeneo hayo siku za weekend, wengine baada ya saa za kazi, wataalam wanasema maeneo ya beach ni poa pia kutembelea kwa ajili ya kuondoa stress na uchovu.
Leo nimeona nikusogezee mtu wangu uone hizi PICHAZ za Beach 15 zenye mvuto zaidi duniani:-
No.1: Baia do Sancho, Brazil
No.2: Grace Bay, Visiwa vya Caribbean.
No.3: Rabbit Beach, Italy.
No.4: Playa Paraiso Beach, hii pia iko visiwa vya Caribbean
No.5: Playa de Ses Illetes, Hispania.
No.6: Anse Lazio, hii ndio fukwe pekee kutoka Afrika iliyoingia kwenye top 10, ipo katika visiwa vya Shelisheli.
No.7: White Beach, Ufilipino.
No.8: Flamenco Beach, hii ni ya tatu iliyoko Visiwa vya Caribbean.
No.9: Whitehaven Beach, Australia.
No.10: Elafonissi Beach, Ufaransa.
No. 11: Camps Bay Beach, South Africa. Hii ni ya pili kutoka Afrika.
No.13: Radhanagar Beach, India.
No.13: Woolacombe Beach, hii ipo Uingereza.
No.14: Siesta Key Public Beach, hii ipo Marekani.
No.15: West Bay Beach, Honduras.