Rapa T.I Afunguka kuhusu kuwa mwizi

Rapa T.I. mtu yeyote mwenye “common sense” atajua yeye hawezi kuiba muziki wala wazo la msanii mwingine.

Baada ya kulipwa dola milioni $7.3  kutoka kwa producer Pharrell na msanii Robin Thicke, Familia ya Marvin Gaye sasa imeanza kumhughulikia rapa T.I ambaye pia ameweka sauti kwenye wimbo wa “Blurred Lines”.
T.I Ameulizwa na Tmz kuhusu kesi hii nakujibu ” Sijui kinachoendelea, sihusiki na hio kesi kabisa na mimi napenda sana kazi za Marvin Gaye, ila nawakubali sana Pharrell na Robin, Mimi ni mwandishi, mbunifu, siibi mawazo ya watu, na mtu yeyote mwenye akili ataona hilo”.

Popular Posts