Skip to main content
Fast and Furious 8
Baada ya mafanikio makubwa ya Fast 7 sasa wametangaza ujio wa “Fast and Furious 8″. Filamu hii ambayo ni blockbuster imetangazwa kutoka
April 14, 2017 wakati wa maelezo kuhusu Fast and Furious 8 yaliyotolewa na mwigizaji wa filamu hio Vin Diesel.