Manny anarusha zaidi ya ngumi 100 kwenye round moja,Je Flody,Mike Tyson kazungumza hapa.

Mayweather-vs-Pacquiao



Aliyekuwa mmiliki wa mkanda wa  ngumi wa uzito wa juu [Heavyweight champ Mike Tyson] amezungumzia pambano la Floyd Mayweather na Manny Pacquiao hivi karibuni
na kusema  “ Floyd hawezi kupigana kwenye pambano hili kama anavyopigana kwenye mengine, lazima aende mbele na arush ngumi sana ,Manny anarusha zaidi ya ngumi 100 kwenye round moja, Flody pambano lake la mwisho alirusha ngumi 38, asikubali kuwekwa kwenye kamba dhidi ya Pacquiao ” .

Popular Posts