utata wa kiss la madonna na drake
Kwenye tamasha la Coachella mwanii mkongwe wa pop Madonna alikutanisha midomo yake na rapa mkubwa Drake wakiwa pamoja kwenye jukwa na kukamata attention ya watu wengi. Baada ya busu lao
Drake alionekana kushtushwa na jambo hilo na kushika mdomo kitendo ambacho kilitafsiriwa kama ni kutopenda busu la malkia huyo wa pop.
Drake ametumia instagram yake kusema kuwa “Watu wasitafsiri kitendo chake vibaya ila hakutegemea kumbusu madonna ” .