Mastaa waliohudhuria pambano la Floyd Mayweather Vs Manny Pacquiao
Hizi picha za mastaa waliohudhuria pambano kubwa la Floyd Mayweather Vs Manny Pacquiao. Floyd Mayweather alitangazwa mshindi kwa points kwenye pambano hili la round 12. Wasanii nan waigizaji walionekana kwa wingi.