Skip to main content
juma nyoso apewa adhabu kali kwa udhalilishaji
Kamati ya uendeshaji ya ligi kuu Tanzania Bara imemfungia Nahodha wa Mbeya City Juma Nyosso
kutocheza soka kwa miaka miwili na faini ya milioni 2 kwa kosa la kumfanyia kitendo cha udhalilishaji Nahodha wa Azam John Bocco katika mechi ya juzi kati ya Azam fc na Mbeya City iliyopigwa katika uwanja wa Azam Complex.