AGA KHAN YAZINDUA MTANDAO MPYA WA SIMU TANZANIA
hivi karibuni vodacom, airtel ,tigo na zantel watakumbana na ushindani mkali baada ya mtandao mpya uitwao..............
SMART TELECOM kuzinduliwa rasmi.
WWW.PALLANGYO.BLOGSPOT.COM
kwa mujibu wa meneja mkuu wa kampuni hiyo bwana Abdellatif Bouzia alisema "We have entered the market with all you want - 2G, 3G, 4G and all other products. We are living in a technologically-sensitive era and we must innovate. That's our focus,"
SMART TELECOM ianapatikana nchi za TANZANIA, BURUNDI NA UGANDA na wamelenga kuwa na gharama za chini zaidi kuliko mitandao mingine Tanzania
mtandao huu unamilikiwa na
Aga Khan fund for Economic Development (AKFED)