FURAHA YA KUSIKIA:BAADA YA KUWA KIZIWI KWA MIAKA 40 HATIMAE AWEZA KUSIKIA
Joanne Milne kutoka Gateshead amekuwa kiziwi toka kuzaliwa kwake mpaka sasa ana miaka 40 ndio ameweza kusikia kwa mara ya kwanza.
Joanne Milne alikuwa na tatizo liitwalo
Usher syndrome, tatizo lililopelekea aanze kupoteza hata na uwezo wa kuona alivyokuwa katika miaka yake ya 20.Ndipo wataalam toka Birmingham wamemfanyia upandikizaji wa vinyama vilivyo mwezesha kusikia kwa mara ya kwanzaWWW.PALLANGYO.BLOGSPOT.COM