HABARI YA KUSISIMUA:TOP 10 YA NDEGE ZILIZOWAHI KUPOTEA DUNIANI KAMA MH370( YA MALAYSIA)
Mbali na MH370 zimewahi kupote ndege nyingine nyingi tu na zisionekane au kuja kuonekana miaka mingi sana baadae, ripoti ifuatayo inatoa hesabu ya ndege hizo:.................
1.Amelia Earhart
upotevu maarufu zaidi ni wa mwanamama Amelia Earhart,mwaka 1937 alipokuwa katika safari ya kuzunguka dunia huku akisaidiwa na Captain Fred Noonan bahari ya Pacific, alipotea ila hakikupatikana chochote japo baada ya miaka 2 ilitangazwa amefariki
2.Air France Flight 447
Air France Flight 447 ilikuwa inatokea Rio de Janeiro kwenda paris na ilianguka 2009 na kugundulika siku 5 baadae na miaka 2 baadae kisanduku cheusi kinachorekodi mwenendo wa ndege kikapatikana , kwa umbali wa 4,000m (13,000ft). na kati ya abiria 228 waliokuwemo katika ndege hiyo Airbus 330 hamna alienusurika.
3.EgyptAir Flight 990
ndege hii ilikuwa from New York's JFK Airport to Cairo na 31 October 1999 ikaanguka Atlantic, na kuua abiria 217, japo rubani Gameel el-Batouty, alituhumiwa kuangusha ndege hiyo makusudi kwa sababu alikuwa na kisasi na mwanamke mmoja alie kuwa ndani ya ndege hiyo lakini wachunguzi wa misri walisema ni tatizo la kiufundi ndio chanzo cha ajali
4.British South American Airways Star Dust
August 1947 ndege British Avro Lancastrian ikitokea Buenos Aires to Santiago Chile, anasemekana ilichukuliwa na aliens, japo hali mbaya ya hewa pia inatajwa.WWW.PALLANGYO.BLOGSPOT.COM
5.Bermuda Triangle
kama nilivyoelezea katika machapisho yaliyopita eneo hili la Bermuda Triangle meli ndege na vitu vingine vingi vimepotea bila kujulikana vilipo ambalo lipo maeneo ya Bermuda, Florida na Puerto Rico. ndege hiyo ya uingereza ilipotea 1940 japo tafiti zinasema iliishiwa mafuta
6.Uruguayan Air Force Flight 571
Flight 571 toka Uruguay to Santiago,chile na kuangukia Andes kwakupoteza mabawa yake mawili milimani, kati ya watu 45 nusu yao walinusurika lakini ni baada ya kuteseka siku 72
7.TWA flight 800
NDEGE 800 Trans World Airlines kutoka New York's JFK airport iliondoka 20:00 17 July 1996
ikiwa na abiria 230 ambao walifariki wote. na haikuonekana tena japo watu wengine walisema ilidunguliwa.
8.A US Army Air Corps B-24D
ndege ya kivita ya USA kipindi cha vita ya pili ya dunia ikiwa na pilot Lady Be Good huko Naples,Italy, April mwaka 1943, ilipotea na kutoonekana tena na baadae miaka 15 ndio ikaonekana.
9.Steve Fossett's Bellanca Super Decathlon
msafiri Steve Fossett akiwa katika ndege yake binafsi hukoo nevada 3 September 2007 alipotea bila kuonekana tenaa, utafutaji wa bwana huyo mwenye miaka 63, ulisitishwa 2008 baada ya engine 1 kupatikana.sababu ya ajali inasemekana ni upepo mkali.
10.Private plane carrying fashion boss
NDEGE ndogo aliyokuwa imembeba director wa Italian fashion house Missoni ilipotea pwani ya
Venezuela in January 2013, director huyo alikuwa na mkewe huko Los Roques almaarufu kama"new Bermuda Triangle."