HII SIO YAKUKOSA TEKNOLOJIA MPYA CHOONI(TOILET)
wataalamu nchini india wamebuni mfumo mpya wa kisasa chooni ambapo mtumiaji wakati akiendelea kujisaidia anaweza
1.kuchaji simu kwa kinyesi alichotoa
PICHA YA MKAA UNAOTOKANA NA KINYESI |
3.kupata maji safi ya kutumia kupitia kinyesi hichohicho
mradi huu ni mahususi kwa kukabiliana na uhaba wa maji, nishati na umasikini kwa jumla na ulipokuwa unazinduliwa zaidi ya watu milioni640 walijisaidia hadharani kuonesha kukubali mradi huo na kuchangia mradi huo.
mradi huu unadhaminiwa na Bill & Melinda Gates Foundation's