SUMSUNG NA APPLE MAHAKAMANI TENA
Leo tena makampuni makubwa ya simu duniani sumsung na apple zimetinga tena mahakamani
wakituhumiana kuibiana idea za utengenezaji simu za kisasa yaani smartphone.
Apple ndio mlalamikaji akituhumu kampuni ya sumsung kuiba idea za utengenezaji wa iPhone na Ipad wakapata samsung galaxy.
APPLE wanahitaji samsung iwalipe $900million wa wizi huo
HEBU TUTIZAME PICHA TUONE KAMA TUHUMA ZINA UKWELI
HIZI JE?
SAWA NA HII??