UGUNDUZI MPYA:KIMONDO KIPYA CHA KWANZA CHENYE RING KAMA SAYARI YA SATURN
VIDOKEZO
- Wanaanga huko Amerika ya kusini wamegundua kimondo chenye ring
- kimondo hicho kinaitwa Chariklo
- ring hizo zinaweza kuja kuunda mwezi
NA ugunduzi huu umetokea huko Rio de Janeiro, na umeonekana kushangaza sana
By pallangyo Nurdin www.pallangyo.blogspot.com