UNAIJUA HII?? CHECK TEKNOLOJIA MAPYA YA MAGARI YALIYOUNGANISHWA NA INTERNET
MBELE NI MBELE TU, Wenzetu huko nchini uingereza wamebuni mfumo mpya wa kuunganisha gari na mtandao wa INTERNET ambapo unaweza
kutafuta music, kusikiliza audio books, hata kuagiza pizza kwasababu dashboard ya gari imeunganishwa na mtandao.
mpaka hivi sasa 10% ya magari yameshaunganishwa na mfumo huo na kwa mujibu wa British consulting firm Machina Research inategemewa mpaka 2020, zaidi ya 90% ya watu watakuwa wameshajiunga na mfumo huu.
WWW.PALLANGYO.BLOGSPOT.COM