UNAJUA OBAMA ANATUMIA SIMU AINA GANI?, VLADMIR PUTIN JE?, CHANCELLOR MAKEL?? CHECK HAPA ZOTE
siku zote mwenzio akilala huwa ndio wakati sahihi wa wewe kuamka kama uko makini.
ikiwa kampuni ya simu ya black berry inaelekea kupotea kabisa kwenye ramani ya soko, samsung,na apple wanahakikisha watachukua nafasi hiyo wakuwa ndio aina za simu zitakazo tumiwa na viongozi wakubwa duniani.
IFUATAYO NI LIST YA VIONGOZI WAKUBWA DUNIANI NA AINA YA SIMU ZAO:
BARACK OBAMA -BLACKBERRY
ANGELA MARKEL- NOKIA SLIDE WWW.PALLANGYO.BLOGSPOT.COM
NAWAZ SHARIF(PAKISTAN)-iPHONE, SAMSUNG
VLADMIR PUTTIN(RUSSIA)-HANA SIMU MAALUM