HUYU NDIO MVAMIZI WA COMPUTER "COMPUTER HACKER" MDOGO ZAIDI DUNIANI ANA MIAKA 5

Kristoffer Von Hassel: The world's youngest white-hat hacker? Microsoft imemzawadia mtoto mwenye umri wa miaka mitano(5) kama
mtafiti wa ulinzi katika mtandao wao.
Kristoffer Von Hassel aliweza kugundua makosa katika michezo ya kupoteza muda yaani game liitwalo Xbox One game,ambapo kris aliweza kucheza game hilo bila kuweka neno sahihi la siri yaani password , alichokuwa anafanya mtoto huyo akiingia kwenye computer ya baba yake ni kuweka password zisizo sahihi mara 5 baada ya hapo anaweza  kuingia kwenye account ya baba yake.
baba mtu alipogundua ndio akatoa taarifa microsoft kuhusu uvamizi huo wa mtoto wake ambae amezawadiwa games 4 bure , $US50 and a one-year Xbox Live subscription.WWW.PALLANGYO.BLOGSPOT.COM

Popular Posts