MSANII MAARUFU AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA

Msanii wa Dance Hall Adidja Azim Palmer maarufu kama
‘Vyabz Kartel’ amehukumiwa kifungo cha maisha Jela kwa kuhusika na kifo cha aliyekuwa rafiki na mfanyabiashara WWW.PALLANGYO.BLOGSPOT.COMmwenzake alioyeitwa Clive ‘Lizard’ Wiliam http://www.baabkubwamagazine.com/wp-content/uploads/2014/04/ade4da523c0da67c90f23540579cfa06.jpg
Hukumu hiyo ilitolewa jana na mahakama kuu ya Jamaica baada ya kesi hiyo kusikilizwa kwa siku 58 na inasemekana kuwa kesi hii ndio kesi ya kwanza kuchukua mda mrefu zaidi katika historia ya Jamaica.Wahusika wengine kwenye kesi hiyo ni Hawn Campbell,Kahela jones na Andre St John nawao walihukumiwa kwenda jela kwa kushiriki na Vybz Kartel kufanaya unyamahuo

http://www.baabkubwamagazine.com/wp-content/uploads/2014/04/vybez-cartel-guilty-of-murder-lead-11.jpg


Inadaiwa kuwa siku ya mauwaji washtakiwa walimwalika marehemu katika nyumba ya Kartel ili wajadiliane kuhusu kupotea kwa Bunduki mbili zilizo nunuliwa kiharamu na kisha kupotea
japokuwa mwili wa marehemu hauku patikana lakini ushahidi mkubwa ulio mfunga ni ujumbe mfupi ulio kutwa katika simu ya Vyabz ukisema kuwa marehemu alikatwa vipande vipande ili asijekupatina.ila mawakili wa Vyabz Kartel wanapanga kurudi mahakamani kupinga hukumu hiyo.

Popular Posts