TAZAMA ALICHOPOST LUCAS PODOLSKI (MCHEZAJI WA ARSENAL) KUHUSU TANZANIA
lukas Podolski ni mchezaji wa Arsenal, tazama alichopost kuhusu Tanzania. @Podolski10
Haijajulikana
Podolski alipataje hizi picha ila huyu hapa chini ni Mtanzania alievaa
jezi ya staa huyu wa Arsenal ambapo hiki kitendo kimemfanya Podolski
kumsifia huyu shabiki kwamba jezi imemtoa freshi na kuitakia kila la
kheri Tanzania.WWW.PALLANGYO.BLOGSPOT.COM
Hiyo hapo juu ni kwenye instagram ambapo picha hiihii pia aliipeleka kwenye page yake ya twitter kama inavyoonekana hapa chini