RED ALERT: KWA WALE WANAOPENDA KUTIZAMA PORNOGRAPHY (PICHA ZA NGONO)

 
 Hii inaweza isiwe habari nzuri kabisa kwa wanaume wengi sana haswaa vijana.
Utafiti mpya umeonesha ubongo wa mwanaume una
pungua uwezo kutokana na kuangalia picha za utupu/ngono kwa kiwango kikubwa na hii ni kwa mujibu wa German researchers wa Max Planck Institute for Human Development, na utafiti umeonesha eneo la ubongo liitwalo striatum husinyaa na kuwa dogo.
striatum ni eneo la ubongo linalo husika na mihemko, hivyo kuangalia ngono huzubaisha eneo hilo muhimu.
kwa ufupi ni kwamba wanaume wenye uwezo mdogo wa kiakili ni watazamaji wazuri wa porno.
Utafiti wa mwaka jana uliofanywa na University of East London olionesha 97% ya wavulana na 80% ya wasichana kati ya miaka 16-20 wameshatazama porno.www.pallangyo.blogspot.com

Popular Posts