FROCH AMTWANGA GROVES KNOCK OUT

Carl Froch knocks out George Groves Carl Froch knocked George Groves haya ndio maneno yaliyosemwa sana nchini uingereza katika uwanja wa wembley huku zaidi ya mashabiki 80,000 wakishuhudia mpambano huo na mpaka mwisho
Carl Froch allibuka kidedea kwa kumkung'uta groves kwa knockout.

hili lilikuwa ni pambano la marudiano ambapo katika pambano lililopita froch pia ilishinda huko jijini manchester katika round ya 9 ila wakati huu kazi yake ilikuwa rahisi na ilimchukua round 8 kushinda pambano hilo.
 Carl Froch knocks out George Groves
kwa ushindi huu froch amerejesha  mataji ya IBF na WBA
Carl Frochwww.pallangyo.blogspot.com

Popular Posts