KWANI HUU NDIO MWISHO WA DUNIA???
Wanasayansi nchini marekani wamegundua kwamba
uwepo wa viumbe haina na maisha umepungua sana duniani tofauti na ilivyokuwa inategemewa.
tafiti hiyo imeonesha viumbe wanakufa/wanapotea kwa kiwango cha viumbe 1,000 kwenye viumbe milion moja kila mwaka ikiwa ni mara 100 zaidi ya kiwango kilichotarajiwa.Walisema wanasayansi hao wa The Duke University.
Inasemekana kabla binadamu kuja duniani kiwango kilikuwa ni kiumbe moja katika milioni ndio anapotea/kufa kwa mujibu wa tafiti ya 1995.
PICHA HII INATOA MFANO WA TAFITI NA JINSI DINIA ITAKAVYO ISHA |
CHANZO METRO. www,pallangyo.blogspot.com