RAPPER IGGY AZALEA NDANI YA FAST & FURIOUS 7

 
Rapper wa kike kutoka Australia Iggy Azalea anayetamba na nyimbo kama Fancy na No Mediocre ambayo ameshirikishwa na boss wake T.I. amepata nafasi ya kuonyesha kipaji chake cha kuigiza kwenye filamu kubwa ya Fast & Furious 7. Kama ulifuatilia vizuri Fast & Furious 6 ilikuwa na
msanii kutoka Uingereza Rita Ora.
Habari hizi nzuri kwa wapenzi wa filamu zimetangazwa na mwigizaji Vin Diesel ambaye mara nyingi hufanyiwa Interview kuhusu hizi filamu. Interview hii amefanyiwa na Skyrock Fm. Filamu hii inatoka April 3 2015 na itahusisha wasanii waliokuwepo kwenye tolio lililopita kama Ludacris na Tyrese.
set 2 set

Popular Posts