Baada Ya Kufuatiliwa Na Waandishi Wa Habari Hili Jibu La Future Kuhusu Kumsaliti Ciara.
Baada ya kuwa na taarifa za kuchanganya kuhusu kuachana,kumsaliti mama mtoto wake Ciara, Hivi karibuni waandishi wa habari walifanya juhudi za kupata jibu kamili kutoka kwa Future kuhusu
usaliti wake miezi mitatu kabla Ciara hajajifungua. Future hakuwa na mengi ya kusema na alikata kabisa kuongea na waandishi ila dakika chache baadae aliweka maneno haya Instagram na Twitter.
“I Dnt respond to rumors I respond to money