BEN POL KUACHIA NGOMA MPYA


                     Mwanamuziki Ben Pol.
MKALI wa R&B nchini, Ben Pol anategemea kuachia wimbo wake mpya ‘Twaendana’ siku ya Jumatatu Agosti, 25 ambao una ubia na mtayarishaji wa muziki wa Noiz Maker production, DX.

Ben Pol ameitambulisha ‘Twaendana’ kama official single baada ya wimbo wake ‘upendo’. Ben aliongeza “nimeimba wimbo wote lakini nadhani ni wimbo wa kwanza kuwa na partinership na producer, kwa huu wimbo mimi na bwana DX kila mtu ana haki nyingi nyingi, japo tutashare gharama za video na promotion pia, lakini yeye atasimamia upande wa mauzo ya online”.

Popular Posts