Forbes yatoa orodha ya waigizaji 10 wa TV walioingiza pesa nyingi zaidi 2014

Forbes imetoa orodha ya waigizaji 10 wa TV waliofanikiwa kuingiza pesa nyingi zaidi mwaka huu, na Ashton Kutcher ameongoza orodha hiyo kwa kuingiza kiasi cha $26 million kati ya June 2013 na June 2014 akifuatiwa na Jon Cryer alieyeingiza $19 million.

Angalia orodha kamili:
1 .Ashton Kutcher ($26 million)
2 .Jon Cryer ($19 million)
2.Mark Harmon ($19 million)
3.Neil Patrick Harris ($18 million)
4.Patrick Dempsey ($16 million)
4. Kevin Spacey ($16 million)
5.Tim Allen ($15 million)
6. Simon Baker ($13 million)
7. Jim Parsons ($12 million)
8.Jason Segel ($11 million)
8. Johnny Galecki ($11 million)
9: Jon Hamm5.  ($10 million)
9.Charlie Shenn ($10 million)
9. Josh Radnor ($10 million)
10.Bryan Cranston ($ 8 million)...

Popular Posts