Kim Kardashian aigiza katika kipindi cha ucheshi 'Comedy'

Kim Kardashian West amekuwa mhusika kwenye kipindi cha usheshi cha 2 Broke Girls cha CBS, kitakachoruka October 27 mwaka huu.

Kim K ametangaza hatua hiyo kupitia akaunti yake ya twitter na kueleza kuwa atacheza na waigizaji wa kike ‘Beth Behrs na Kat Dennings.

Popular Posts