'Muhuni Mwenye Akili'

Ammy Nando, aliyeiwakilisha Tanzania katika shindano la Big Brother Afrika amepanga kutoa kitabu chake alichokipa jina la ‘Mhuni Mwenye Akili’.

“Nando Wa Big Brother Africa kutoa kitabu chake cha pekee kitakacho toka kwa awamu mbili English Version na &  Swahili Version. Cha kiswahili ndicho kitakuwa cha kwanza kuchapishwa. Kitafahamika kwa jina la MUHUNI MWENYE AKILI.” Ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Nando aliimuliwa kwenye jumba la Big Brother baada ya kutishia kumchoma kisu mshiriki mwenzake kutoka Ghana.

Popular Posts