Neil Warnock Meneja Mpya Crystal Palace
Crystal Palace wamempa ajira Neil Warnock, 65, kuwa meneja mpya.
Warnock ambaye aliwahi kuifundisha Palace kati ya mwaka 2007 na 2010, amesaini mkataba wa miaka miwili.
Tony Pulis aliyekuwa meneja wa Palace, aliachia ngazi Agosti 14 mwaka huu, saa 48 kabla ya kuanza msimu mpya wa Ligi Kuu ya England.