PICHA: HILI NDIO TOLEO JIPYA LA BUGATTI BEI YAKE NI TSH BILIONI 5
Bugatti
ni moja ya magari machache yenye gharama kubwa sana duniani ambayo mara
nyingi humilikiwa na watu wenye kipato kikubwa tu ambapo kampuni
inayotengeneza magari hayo
imetoa matoleo matatu ya lengend edition na
hii ya sasa hivi ndiyo ya mwisho kwenye edition hii.Toleo hili la tatu yatatengenezwa magari matatu tu ambayo kila moja litauzwa kwa $3.14 million.
