Picha: Beyonce akava toleo la CR Fashion Book, angalia picha
Beyonce amepata nafasi ya kukava chapisho la kitabu cha mitindo, CR Fashion Book, toleo la September, 2014. Toleo hilo litatolewa rasmi September 4 ambayo itakuwa siku ya
kuzaliwa ya mwimbaji huyo. Picha zimepigwa na mpiga mpicha mashuhuri
Pierre Debusschere.