REMY RASMI CHELSEA

REMY RASMI CHELSEA
Chelsea wametangaza kumsajili mshambuliaji wa QPR Loic Remy kwa mkataba wa miaka minne.
Chelsea ilitengua kigezo cha uhamisho cha pauni milioni 10.5 katika mkataba wa Remy siku ya Jumamosi, na hivyo hakupangwa katika mchezo wa QPR dhidi ya Sunderland. 
"Najisikia furaha sana na kujivunia sana," amesema Remy, 27. "Niliposikia Chelsea wanataka kunisajili, nikasema 'twende'."
Arsenal walimuulizia mchezaji huyo wa Ufaransa siku ya Jumamosi usiku, lakini mara moja wakabadili mawazo. 
Chelsea wamekuwa wakitafuta kuimarisha safu ya ushambuliaji baada ya Fernando Torres kwenda AC Milan kwa mkopo wa miaka miwili. 

Popular Posts