Rihanna Anasema Kwake Huyu Ndio Mwanaume Mwenye Mvuto Zaidi Duniani
Msanii Rihanna aliyewahi kuwa na mahusiano na wasanii wenzake Drake na Chris Brown amefunguka hivi karibuni kwenye interview na Elle kuwa mwanaume anayeamini ana mvuto zaidi duniani ni
mwigizaji Vince Vaughn.
Rihanna amewahi kutajwa kuwa mwanamke mwenye mvuto zaidi na mtandao wa FHM & Maxim and having been namna pia mwanamke mwenye mvuto zaidi aliyehai na jarida la Esquire’ 2011.