TIZAMA PICHA NA VIDEO FUPI YA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO MPYA WA NICKI MINAJ ANACONDA
Rapper Nicki Minaj anaelekea kukamilisha
video yake mpya ya Anaconda na ametoa video ya sekunde 15 ikionyesha
Minaj akiwa kwenye pozi tofauti za kimahaba katika video yake ya
Anaconda.