TORRES RASMI AC MILAN
Mshambuliaji wa Chelsea na Spain Fernando Torres amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miaka miwili kwenda AC Milan.
Chelsea wamethibitisha uhamisho huo siku ya Jumapili, muda mfupi baada ya kumsajili Loic Remy kutoka QPR kwa pauni milioni 10.5.
Torres, 30, alihamia Chelsea kutoka Liverpool kwa uhamisho uliovunja rekodi ya Uingereza, wakati huo, ya pauni milioni 50, Januari 2011, lakini alishindwa kuonesha makali yake.
Torres, 30, alihamia Chelsea kutoka Liverpool kwa uhamisho uliovunja rekodi ya Uingereza, wakati huo, ya pauni milioni 50, Januari 2011, lakini alishindwa kuonesha makali yake.