Watu 8 wagundulika kuwa na virusi vya Ebola nchini Congo.
Waziri wa Afya wa Democratic Republic of Congo amethibitisha habari ya kwanza kuwepo kwa watu 8 waliopimwa na kukutwa na virusi vya ugonjwa wa Ebola. Mr Felix Kabange Numbi alisema,”The results are positive. The Ebola virus is confirmed in DRC”.
DRC imekuwa ni nchi ya kwanza nje ya Africa Magharibi kuthibitisha uwepo wa wagonjwa wa Ebola. Ugonjwa huu umeshasababisha vifo vya watu 1427 hadi sasa.